Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea habari kwa picha za RC Mstaafu ( Arusha, Mwanza & Mara) Mhesh Magesa Mulongo Tafadhali endelea kutupia picha zake na sio lazima utoe comment yeyote Karibuni
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested...
14 Reactions
86 Replies
10K Views
Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh...
2 Reactions
5 Replies
729 Views
Namwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
22 Reactions
86 Replies
5K Views
Wao wanajiita maafisa usafirishaji.Wana visa sana
11 Reactions
99 Replies
4K Views
Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Hebu jionee mwenyewe Siongezi neno .
4 Reactions
7 Replies
694 Views
Drop your best wallpaper here
4 Reactions
484 Replies
19K Views
Lengo la mtoto wa kiume kujilemba kama mdada ni nini sasa ni kulazimisha u-handsome au ni nini au ndio dalili za upinde
2 Reactions
13 Replies
1K Views
"Nimeshakutumia Whatsapp na usinisumbue" Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu, eti Otikiiii 😂 😂 🤣
4 Reactions
12 Replies
891 Views
Kuna scientific calculator na Calculator ya simu. Zote zimepewa hesabu inayofanana lakini majibu yako tofauti!
4 Reactions
283 Replies
17K Views
Back
Top Bottom