Wanabodi,
Katika mitandao hivi sasa kuna treading ya picha na vituko vya mtu anayeitwa fundi maiko, inaonesha kila ujenzi wenye utata mhusika ni FUNDI MAIKO.
Naomba kujua nini kilichhotokea...
KUKIMBIA MATATIZO YAKO NDIO HUKUONGEZEA MATATIZO ZAIDIπ’
Huyo mwanaume katika picha aliamua kujiua kwa lengo la kukwepa madeni anayodaiwa, pindi alipoamua kujirusha kutoka jengo refu la ghorofa...
1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha,
2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha
3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block...