Kwenye clip hii kuna jambo la kujifunza
Kwa abiria wanaopanda mabasi ya kusafiri mkoani.....
Oneni kilichowakuta abiria Hawa
Kutoka kwa kamanda huyo mwanamama
Ova
Katika pitapita zangu mitandaoni, nikapita forum kubwa zaidi Dunia(Skyscraper City forum) nikakutana na uzi katika miongoni mwa sub forum huko ukizungumzia majengo marefu katika miji husika...