Dogo siyo wa kumchukulia poa, ameachia video ya UNO harafu anawakimbiza kaka zake balaaa.
NAMUONA KAMA KIJANA MAKINI TOFAUTI NA NILIVYOMDHANIA...VIDEO IMETULIA!
Al Kasusu...
Hebu mtu anielezee kinaga ubaga...
Naamini NGUVU ZA KIUME NI KUJIAMINI NA UHURU...LAKINI UKIWA UPO KATIKA ZINAA NI NGUMU SANA KUPERFORM...