Kila Siku Tanzania tuna expands Kutoka ujinga Mpaka ubunifu tena Wahali Ya Juu Mbali Na changamoto TUNAZO Pita Lkn hatukati tamaa
Sema lolote Kuhusu ubunifu huu[emoji116]
Sent using Jamii Forums...
Najua kuna watu hawapendi,ila hamna namna Simba Sc uko wakati inatulia na kupiga kandanda safi ya kiwango cha kutia moyo sana. Corona iishe watu tuendelee kupata burudani hizi.
My Take...