Ubunifu wa hali ya juu usipite bila kutoa maoni yako

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Kila Siku Tanzania tuna expands Kutoka ujinga Mpaka ubunifu tena Wahali Ya Juu Mbali Na changamoto TUNAZO Pita Lkn hatukati tamaa

Sema lolote Kuhusu ubunifu huu
FB_IMG_1585584863920.jpeg
FB_IMG_1585584855013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chibudee mimi nimeipenda avatar yako. Naona umemuweka Mwalimu Maria Kam, aliyekua Head Mistress wa Weruweru Girls na baadae Mbunge wa viti maalumu

Huyu mama kajijengea heshima kubwa sana, na kwakweli wanafunzi wake waliotapakaa nchi nzima na hata ng'ambo ya Tanzania wakiwa na majukumu na nyidhifa mbalimbali katika kila sekta wanampenda sana
 
Ni Mama Bibi Dada Wa wengi Nchini Na Mfano wa Kuigwa Na wengi pia Mungu amtunze

Back
Top Bottom