Watanzania wenzangu tuendelee kujikinga na Covid -19 kwa kupiga nyungu ili kujiwekea kinga mwilini dhidi ya maambukizi haya yanayoitikisa Dunia yetu ktk kila nyanja.tusingoje kuletewa dawa ili...
Hio ilikuwa mwaka 1966 baada ya waghana kuchoshwa na udikteta wa kwame nkurumah ambaye alijifanya Mungu mtu alikuwa hataki kukosolewa alipinduliwa akaenda kuishi uhamishoni guinea ambako alifia huko