Tanzania kwa sasa hivi ni barazani pa wenye mizaha,imagine mtu anaona fresh kabisa kuentertain mikusanyiko kama hiyo bila tahadhari yoyote zama hizi za Corona!🚶🚶🚶
Niaje wanajamvi leo nimeleta huu uzi ili kuona picha za sunset za kila kanda mm nimepiga picha za sunset ukanda wa bahari na ndio hizo apo chini. Tuonyeshe yako ili tuone na kanda zingine jinsi...
Habari za jumapili waungwana...
Ndio kumeshakucha saa hii na leo ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa pili.
Kwa hiyo taswira hapo chini, nimeamini gari mbovu husukumwa na gari nzima.
Huyo wa...