Hawa watoto wa kiume wametutia aibu ila huyu aliyevaa ya simba sc katutia aibu zaidi,msiba huu


akenajo

akenajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
1,587
Likes
139
Points
160
akenajo

akenajo

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
1,587 139 160
duu sio riziki nini ha ha ha
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
4,703
Likes
4,610
Points
280
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
4,703 4,610 280
Simba kapakatwa hiyo.
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
14,495
Likes
38,032
Points
280
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
14,495 38,032 280
Nina mashaka na mtoa post, sio kila kinachofanyika ni dar, hivi dar kuna udongo mwekundu hivyo? Mambo mengine muongeage ukweli kama ni mikoani mseme tu, msifiche uozo wa mikoani na kusingizia kila kitu dar
 
mwandende JR

mwandende JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Messages
1,111
Likes
1,235
Points
280
mwandende JR

mwandende JR

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2017
1,111 1,235 280
Kwa lugha ya picha aliyobebwa ndy MENDE..huyo YANGA ni MSHUMAA STRAIGHT
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,486
Likes
8,469
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,486 8,469 280
Waweza nitajia sehem moja tu ambayo ipo hivyo dar
Na udongo mwekundu ivo?
hivi unapajua changanyikeni palivyo. Pana tofauti gani na hapo
 
Tajirimsomi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
4,635
Likes
4,750
Points
280
Age
48
Tajirimsomi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
4,635 4,750 280
Waweza nitajia sehem moja tu ambayo ipo hivyo dar
Na udongo mwekundu ivo?
Kule mbagara kimbangulile ukiteremka chini mabondeni
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,447
Likes
31,731
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,447 31,731 280
hao wore ni yanga wameamua kudhalilisha chama langu
 
mokii

mokii

Senior Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
167
Likes
163
Points
60
mokii

mokii

Senior Member
Joined Aug 12, 2017
167 163 60
Hapana hapo ni songea au kigoma au geita au morogoro kwa akina mkude simba ndio kuna udongo mwemundu!
 

Forum statistics

Threads 1,238,731
Members 476,123
Posts 29,328,131