Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Njia za ndani soko kuu
Barabara ya mjini kati
Mjini kati
NB: picha zote zimepigwa mjini
Muonekano wa wadada wengi wa Manispaa ya MUSOMANifafanulie picha namba moja hapo juu
Du mbona pabovu sana au wilayani manake hakuna hali kama hiyo kwa mikoa yote ya zamani
Njia za ndani soko kuu
Barabara ya mjini kati
Mjini kati
NB: picha zote zimepigwa mjini
jamaa alitaka tu uone picha ya kwanza hizo nyingine geresha tu.Lengo la hizi picha ni nini?
Huu si ndo mji unaoongozwa na mbunge na waziri msomi kuliko wote Tanzania
Njia za ndani soko kuu
Barabara ya mjini kati
Mjini kati
NB: picha zote zimepigwa mjini
Waambie basi wapunguze majungu na siasa zisizo na mwisho!Kwakweli ni mji uliosahaulika, mi nipo huku kikazi ila ni aibu! hapaendelei hata kidogo, population ni ndogo, mzunguko wa pesa nao obvious lazma uwe mdogo, wenyeji ndo wengi wa kuja wachache na wakuja wanaogopa kuwekeza kutokana na tabia za wenyeji, ila geographically ni sehem poa sana ambapo pangeendelezwa pangekuwa kivutio kwa wageni!
Aiseee kweli MOSHI LONDON CITY AMINI HIVYO
Njia za ndani soko kuu
Barabara ya mjini kati
Mjini kati
NB: picha zote zimepigwa mjini
Sema Mudhungu namwona mmoja tu hapo atakuwa kapote njia huyo anaelekea shinyangaFull misosi huko hadi wazungu.
Swissme