Wadau nipo hapa ferry kivuko kimoja kimeondoka kwenda n'gambo kigamboni na abiria wachache sana kivuko cha MV.kigamboni wamegoma kwenda kwa kuwa watu wamejaa sana.lakini shida yote Hii imetokana...
Kwa Wale wanaoishi Miji ya Baridi Tanzania haswa miji ya Iringa ,Mbeya,Njombe,Arusha na Makambako teknolojia ya kupata Maji ya moto ya kuoga hiyo hapo chini. Mkuu.@PakaJimmy
na Mkuu.@Young...
Tupo katika harakati za kuokoa maisha ya wakazi wawili waliojeruhiwa vibaya na nyati watatu jana usiku,nyati hao inasemekana walivamia boma ya mzee Goranga 51,jana usiku mida ya saa saba,kosa...
Hali Misri iko kama hivi,kuna kitu cha kujifunza hapa:
http://lightbox.time.com/2013/07/29/witness-to-a-massacre-photographs-from-rabaa/?iid=lb-gal-viewagn#1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.