Hii ni video nimeiona sehemu kaburi likipambwa.
Hivi na wale wanao rekodi video wakati wa msiba huwa badae wanakaa kama familia na kuanza kuangalia kama watu wanavyo angalia video zao za harusi?
Dw wameendelea kufuatilia kila jambo linalotokea nchini Tanzania .
Inabidi tuwapongeze sana kwa kutufuatilia maana inaonyesha wanatujali.
Wameweka katuni ambayo kimsingi inahitaji mtu mwenye...