Mwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......
samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie...
Hivi ndivyo risiti huandikwa mara kadhaa endapo "mtandao haupo".
Je kwanini TRA wasiangalie namna ya kuboresha mfumo huu wa kutegemea network za makampuni binafsi ambazo hazina uhakika sana? Pia...