Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa...
Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia...