Dada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe!πππ
Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble.
Dada wa watu...
Maisha ya ugomvi wakati mwingine ni ya kupuuza kabisa.
Mwamba hapo juu kwa mfano sielewi hatima ya maisha yake hapo baadae ilikuwaje!
Halafu huyo mgomvi wake kama vile alielekezwa kabisa mchezo...
Habari wana JF
Polen na uchovu wa shamrashamra za sikukuu hii kubwa duniani. Picha hii nimeipenda sana na inatafakarisha kuipa baadhi ya maneno.
Karibu tuipe maneno picha hii
1. Unasema jana...