Bonge wa clouds fm akipanda mgomba barabarani kutokana na barabara kuwa na mashimo makubwa huku viongozi na wakubwa wa nchi wakipita hapo hapo kila siku ndani ya ma VX yao.
michuzi;
My parents took me to a Paris fashion show and all I got was this T-shirt. Kanye West, Kim Kardashian and their daughter, North West, attend the Balenciaga show on Sept. 24.
1. Bangkok
2.Buenos Aires
3.Las Vegas
4. Montreal
5. Barcelona
6. London
7.Sao Paulo
8. New York
9. Berlin
10. Ibiza
Source; CNN World's best nightlife cities - CNN.com
rip Zola D
Zola D King (in red) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa...
Jamaa linasema kimoyo moyo kwamba hata kama ni haki ya kikatiba nimeambiwa nikupige virungu tuu maana wao wamechoka na akiri zao zimesimama kufanya kazi