huyu Mchumiatumbo atakuwa ni msukuma au mtu wa mbeya/iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu Mchumiatumbo atakuwa ni msukuma au mtu wa mbeya/iringa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Narubongo, Aug 19, 2012.

 1. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  rip Zola D
  [​IMG]
  Zola D – King (in red) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.

  [​IMG]
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mchumiatumbo ni mtoto wa mkulima
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Zola D, moto wa Tiper hauzimwi kwa maji ya bahari!
   
 4. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na mwili na nguvu zake inaonekana siyo za kulazimisha kwa kunyanyua vyuma kama ilivyo kwa mwenzie. Natabiri mchumiatumbo atashinda.
   
 5. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi natabiri mshindi.....tutamjua idi pili.
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  kama wa musoma vile............
   
 7. cement

  cement JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwi kwi jamaa kama wa mbeya vile ngoja ntamuuliza baada ya mpambano
   
 8. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,130
  Likes Received: 1,732
  Trophy Points: 280
  height advantage tu inambeba zola,huy jamaa mtambi tu ka kaptein jon komba,lazima akae,mfupiiii ka jotiiii
   
 9. Dodoma one

  Dodoma one JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Misuli hiyo jamani mbona balaa akikukwida kabali huyo unaweza pata sudden death due to ASPHYXIA.
   
 10. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mbavu kbwa tu hapo hamna kitu hapo?
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hilo tumbo lina ingia tani ngapi za mabumunda
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ila ana makovu kama mwizi !
   
 13. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Matokeo vipi ? Si mpambano ulikuwa idi pili.....
   
 14. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Zola D afunzwa ngumi na Mchumiatumbo

  Zola D afunzwa ngumi na Mchumiatumbo  na Ruhazi Ruhazi
  BONDIA na rapa maarufu nchini, Zola D, juzi alikiona cha mtema kuni baada ya kuchezea kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Alphonce Mchumiatumbo, alipopigwa KO raundi ya kwanza.

  Zola D, alikutana na kichapo hicho katika pambano lililovuta hisia za wengi kwenye Ukumbi wa Chuo cha Bandari Tandika jijini Dar es Salaam.

  Tambo zote alizokuwa akizitoa Zola D kabla ya pambano hilo hazikuweza kuonekana ulingoni badala yake alikwenda sakafuni alipokutana na ngumi ya pili tu ya Mchumiatumbo.

  Katika kile kilichoonekana kuwa Zola D hana uwezo wa kumkabili Mchumiatumbo, ndani ya raundi ya kwanza alikwenda sakafuni mara tano, jambo lililowafanya mashabiki kuhofia kuwa angeweza kupoteza maisha.

  “Huyu mtoeni atakufa, atauawa huyo, we mwamuzi maliza pambano huyu hawezi kuendelea,” ni baadhi ya maneno yaliyotolewa na mashabiki waliohudhuria pambano hilo lililochezeshwa na mwamuzi Mike Hatia.
  juu
   
 15. Sir Good

  Sir Good JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2014
  Joined: Aug 19, 2013
  Messages: 1,037
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
   
Loading...