Vipi hawa mbona wengine wameshika tama ,huyu alieshika tama anaonekana kukata tamaa kabisa kwa mujibu wa matokeo ya kura.
Huyu aliesimama koti jeusi kauliza ngapi kajibiwa nane ! Alikuwa...
Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.
Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente...