Anayoyasema huyu Mbungeni ni ya ukweli kabisa huku Ughaibuni kuna Wamachinga wamepangiwa kwa siku zao maalumu kuuza vitu vyao mjini. Anazungumza Point Mheshimiwa Msigwa.
Sehemu ya mto huo inavyoonekana hivi sasa.
KAMERA yetu imefanikiwa kutembelea eneo la mto unaopita katika daraja lililopo eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam na kujionea uharibifu uliofanywa na...