Pale juu kama wamenuna vile lakini hapa chini walau wana mapozi. Mmoja ni Rais na Mwingine ni Rais Mtarajiwa. Wataalam wa siasa.........tukiacha kufanana kwa sura hebu nisaidieni kuchambua uwezo...
Hii ni ndege chapa airbus A380 ,ndege iyo imethibitika ndio ndege ya abiria na mizigo kubwa kabisa ilukayo angani , miongoni mwa mashirika ya ndege yanayomiliki dege ilo ni qantas shirika la ndege...