Wadau wa movie sijui kama mtakuwa mmeistukia hii may be. Nlikuwa naangalia na kwenye scene ya mwisho nimeiona hii flag and nimejiskia poa hv. N way,may be wanatujua
Picha halisi za yule Trafiki wa kagera aliyefukuzwa kwa kupiga picha tatanishi vichakani na mwenzake na kusababisha watu wote waliooa/wenye mahusiano na wanawake ma -trafiki kutathmini upya aina...