PICHA YA NYATI MWEUPE ALIYEONEKANA NGORONGORO
WAHIFADHI watafiti na wataalamu kadhaa, wako katika harakati za kumsaka Nyati wa ajabu anayedaiwa kuwa na rangi ya maziwa, ambaye hivi...
King Sunny Ade na wake zake
Kwa wale vijana wa zamani kwa vyovyote vile wanamfahamu mwanamuziki King Sunny Ade wa Nigeria. Hapa amekula pozi la tabasamu na wake zake. Diamond upo hapo?