Hii ni moja ya movie ya wabongo iliyowekewa maneno ya kiingereza na wabongo, kwa mwendo huu tutabakia kuchekwa na wenzetu kwa lugha hii mbovu ya movie zetu.
Dah, huwa naona aibu sana ninapoziona subtitle za aina hii kwenye movies zetu, hasa ikizingatiwa kuwa mimi ndiye kiongozi wa juu mwenye dhamana ya masuala ya filamu nchini (Katibu Mkuu wa...