Picha: Mtoto wa Rugemarila akila ujana na msanii Rihana ulaya

damtanzania

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
752
1,000
Sometime najiuliza watu kweli wanachukia ufisadi au wanatamani wangekuwa wao ndo wamepiga deal kama ya escrow? Do we hate them or envy them?
That is a very good question. On my point of view l think envy is what kills majority of us
 
Barasu

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,151
1,170
Sometime najiuliza watu kweli wanachukia ufisadi au wanatamani wangekuwa wao ndo wamepiga deal kama ya escrow? Do we hate them or envy them?
Mkuu, kama kweli hela walizopiga ni za IPTL na si mali ya umma basi jamaa wamelamba dume!
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,542
2,000
Kibaya zaidi, wanaenda kuzitumia kijinga. Unajua walau angelijenga kiwanda na kutoa ajira kwa Watanzania, unamuona wa maana, sasa kwenda kupigana Rihanna, kwanza wameshasugua sana akina Chris.
Pia watu kama Rihanna, utafilisika tu maana inabidi uwe ni mtu unayeingiza ki-Ruge kwa siku (1 Ruge = 40.4M.)

Acha amufilisi Baba yake na mwisho ndiyo hela zetu zinakwenda kwa Obama.

Sometime najiuliza watu kweli wanachukia ufisadi au wanatamani wangekuwa wao ndo wamepiga deal kama ya escrow? Do we hate them or envy them?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom