Mkuu wa Wilaya ya Lushoto,Mh.Majid Hemed akizungumza na Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika kijiji cha Mponde,mkoani Tanga.
Hahaa yaani kwa Mswahili asietoka outside Tanzania can not even imagine that waswahili waliopo abroad wapo katika hali ngumu za kimaisha. Hii ni moja kati ya hali ngumu za maisha baadhi ya...