Huyu anaitwa Khadija Abrahamani ,,,,kwa Instagram anatumia yemenquendija,,,binti kaumba alafu kaumbika,,,na anavaa kwa heshima haswa kiukwel sisi wenye hela za mbuzi tutaishia kusifia tu kula...
Naombeni msamaha sijasalimia.
Mwenye kujua kwa kina matumizi ya hili dude chini na hiyo kamba iliyoning'inia kazi yake ni ipi. Leo nisijeharibu vitu vya watu kwakutokujua.