Hili dude nimelikuta chooni sijui kazi yake

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Naombeni msamaha sijasalimia.

Mwenye kujua kwa kina matumizi ya hili dude chini na hiyo kamba iliyoning'inia kazi yake ni ipi. Leo nisijeharibu vitu vya watu kwakutokujua.
IMG_20220605_135206_465.jpg
 
Naombeni msamaha sijasalimia.

Mwenye kujua kwa kina matumizi ya hili dude chini na hiyo kamba iliyoning'inia kazi yake ni ipi. Leo nisijeharibu vitu vya watu kwakutokujua.
IMG_20220605_135206_465.jpg
 
Hilo dude kazi yake Ni kwa ajili ya kufurashi chooni ukienda malawitoni baadala ya kubeba ndoo ya maji na kopo Hilo dude limebeba maji ndani kabla au maada ya kushusha mzigo Kuna sehemu unabonyeza kwa juu hapo maji yanatoka na kusukuma uchafu wako kwenda kwny shimo taka,
Tufanye sinki hilo nimepiga picha saizi chooni, Aya Sasa mzigo nimeshusha kwakua Sina maji kwenye ndoo inamana Kuna kipi hasa kinakuja kusukuma huu mzigo
images%20(64).jpg
 
Iwapo maji yapo au yanatoka bombani,ukimaliza kujisaidia haja kubwa unavuta hiyo kamba kuna maji yatatoka kwenye sink na kwenda na uchafu.
Wote naona hamuwezi kuwa walimu, maana kuelewesha na kuelekeza hamji mnapuyanga tu
 
Water cistern hiyo, hiyo kamba ukiivuta chini kuna piston kwa ndani itapanda juu na kuruhusu maji kushuka kupitia hilo bomba jeupe hapo kwa ajili ya kuflashi jivi kwenye tundu la choo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom