Leo ndio nimesikia kwa Jk eti nywele za 'Albino' nazo washirikina na wasio na utu wanazihitaji, hivi kuna Albino aliyenyolewa nywele?! Kama ni nywele tu kwa nini kuwaua.
http://youtu.be/tHV-_N3CDCQ
Sipati picha mtoto wa mchungaji atasemaje...
Apaone miss chagga, masai dada, Shy land, KikulachoChako, Heaven salt, Madame B, Tized, na woote wapinga michepuko..