kwa hapa nchini kwetu bado elimu yetu haijajenga msimamo wake maana kila mda huwa pana tokea mambo mapya .kutokana na mabadiliko hayo yameweza kuonyesha msimamo wa elimu kuwa ndani nchin haupo...
Kuna watu wanapenda wanyama mpaka wanajaribu kujibadilisha kufanana nao. Wengine wanapenda comic characters. Wengine wanataka kufanana na shetani. Wengine wanataka kufanana na mtu aliyechinjwa.
Kwahiyo Wapinzani walikuwa wanatuambia CCM imepoteza Dira hawakuwa wanakosea? na kwanini CCM ilipotea? na walio ipoteza CCM ni akina nani na wakowapi?
Majibu kwa wanaojua