Kama hujui, hiki ndio kinachoendelea huko the Dominican Republic against Haitian people

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739

11535821_10205911303135594_1513578661694596742_n.jpg
 
Fafanua kama unazo data

Ni kwamba Dominican Republic na Haiti ni nchi mbili zilizo kwenye kisiwa kimoja. Dominican walitawaliwa na Wahispania hawa wengi wao wana ngozi nyeupe kidogo wakati wale wa Haiti weusi kama mimi walikaliwa na wafaransa. Kinachotokea sasa kilianza tangu miaka mingi lakini sasa ndio hali inatisha. Kuna watu kutoka Haiti ambao wameishi Dominican kwa miaka mingi, sasa wanaondolewa kwa nguvu, wanaporwa mali zao na kipigo juu. Wanaofanya hivi ni raia wa Dominican na polisi wapo wanaangalia na hawa watu hakuna wa kuwatetea.
 
Dah! kumbe TZ tuko vizuri mtu akipigwa kofi tu tume za haki za binadamu wanakuja juu.
 
Back
Top Bottom