Kiukweli Dodoma weekned ilikuwa kama DUBAI EXPO maana kulikuwa na kila kitu mule kuanzia Wagombea (Wakatwaji/Wakataji), Wafuasi na kila aina ya burudani
Mzee angeweza kuinuka na kumnasa kibao huyu dogo
Afadhali tumekosa wote mshikaji maana nilitaka kulianzisha. Kesho ningeenda zangu kwa Yuda!
Ongezea nyingine ....
Japan has proved itself as a world leader in terrifying rides with its introduction of Takabisha, the worlds steepest rollercoaster.
Fuji-Q Highland Amusement Park resounded to an almighty noise...
Daraja la Eshima Ohashi linaunga mji wa Matsui (mkoa wa Shimane) na mji wa Sakaiminato (mkoa wa Tottori).
Unaitwa "rollercoaster bridge" kwa sababu umepanda juu sana kuruhusu meli kupita chini...
baada ya kupotea siku nyingi nimejitokeza tena waungwana nikiwa na ombi dogo tu.Naomba yeyote mwenye picha ya First Lady mtarajiwa au Mrs Magufuli aitupie hapa ili tumfahamu.