Hali inaendelea kuwa mbaya kwa UKAWA baada ya Mheshimiwa John Magufuli alipo tinga Same na kuiteka kwa sera zenye mshiko. Wakazi wa Same kwa kauli moja wamesema sasa kura zao zote watampa Mh...
Nimeupenda msafara wa leo. Porini hapa tunaitafuta Loliondo mchana wa leo. Barabara ilifungwa tusikutane na gari yoyote. Raha sana na Mr President Barabarani
Kama hazikutoshi.....!!!
Kama hujui nini maana ya huduma bora za jamii
Kama hujui ni kiasi gani kinatumika kununua wapinzani
Kama hujui kuwa huu ni ukoo wa panya fisi na mbwamwitu wasio...
Kila anakopita anapata wahudhuriaki wengi na anaposimama jukwaani anawaeleza wananchi mambo yanayoweza kutekelezeka tofauti na wengi. Tar 25 Magufuli atapata tiketi ya kuingia ikulu kuwatumikia...