Baadhi ya mamia ya Wananchi wa Silali wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu akiondoka eneo la mkutano la Silali Mjini.Mwigulu Nchemba akiwasili Rolya."Umoja ni...
Mbali na Kumnadi Ndg.Kingu,Mwigulu Nchemba alipokea Vijana 23 walioachana na Chadema na kujiunga CCM.Hizi ni baadhi ya kazi za Wananchama wa Cuf na CHADEMA waliojiunga CCM.
Wananchi wakiunga...
Mamia ya Wananchi wa Kata ya Dumila Jimbo la Kilosa wakisikiliza sera za Mwigulu Nchemba alipokuwa akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi hii leo."Wananchi wa Dumila,Mchagueni Mbunge huyu wa CCM,Ni...