Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa manispaa ya Moshi mjini kwenye mkutano wa kampeni za Urais uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa, Moshi mjini mkoani...
Hali mpaka uswahili ipo km hivi inavyoonekana pichani.
Kwa hali jinsi ilivyo,km ccm na magufuli watapata kura japo millioni 1 watakuwa wamejitahidi sana!
Ukiona chama kinaendekeza VIROBA, basi kaa mbali na hicho chama, maana hawana jema na maisha yako. Kwenye picha hapo juu ni CHADEMA/UKAWA wakiwa na VIROBA
CHAGUA CCM na MCHAGUE MAGUFULI na sio...
Dr Magufuli ni mpango wa Mungu hapana chezea Tinga Tinga hapa ni Arusha.
ARUSHA YATAPIKA
Mr Chin
Dr Magufuli ni mpango wa Mungu hapana chezea Tinga Tinga hapa ni Arusha.
ARUSHA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Dkt Magufuli alishindwa kujizuia kutoa machozi ya huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya...
Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema waliojitokeza kwa wingi wenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnadani...