Wabunge wa Nzega Hussein Bashe na wa Ubungo Saed Kubenea ambao ni wamiliki wa vyombo vya habari nchini wakizozana na Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye
Vijana wakiwa wamekaa nje baada ya nyumba wanazoishi kujaa maji maeneo ya Jangwani jijini Dar es Salaam kufuatia mvua zilizonyesha.
Kituo cha daladala za kwenda Gongolamboto cha Suwata Kariakoo...