Habari wana JF.
Kuna jamaa kakutwa na mkasa wa watu wanaojiita TANESCO LUKU inspectors: Nimeona ni vyema ku-share the INFO!!
Forwarded as recieved.
Subject: TANESCO Security Warning...
In the 17th century,archbishop usher of ireland stated with pleasing exactitude that the world was created at 8pm on 22 octbr 4004B.C worked out wth complicated mathematics from the chronologies...
Nchi imefikia pabaya kuhusiana na mgao wa umeme.Uchumi unaporomoka kwa kasi.Ukijiuliza maswali utashindwa kupata jibu huku ukijua kwamba Tanzania ina vyanzo vingi vya maji.Bado nchi inakumbwa na...
habari ndugu zangu,nina rafiki ambaye yuko very interested na Ujamaa villages na ana mpango wa kufanya PhD dissertation yake kuhusu hili suala,ningependa kufahamu kama bado kuna ujamaa...
NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuumaliza mwaka na kuingia mwingine kwa mafanikio mengi. Sina shaka kuwa wema wake ndiyo ulioniwezesha kupita vikwazo vingi vya kimaisha na hatimaye...
Source http://en.m.wikinews.org/wiki/Tanzania_accused_of_supporting_terrorism_to_destabilise_Burundi The African news
website www.abarundi.org
has accused Tanzania of
being a state sponsor of...
Let me give you six out of many.
The prophecies for nations, continents and for those at the helm of affairs shall be announced during the next Sunday Service.
1. A year of surprises...
Well.. we need to talk about these people and what we gonna do about them and their political puppets in the former Mkapa's administration. Kwa sababu sasa wameokoka na kuwa wafanyabiashara wazuri...
NEW YORK (AP) Police and fire officials say 30 to 50 people were injured when a ferry from New Jersey struck a dock during rush hour in lower Manhattan.
News reports say the Seastreak Wall...
January 04, 2013
By JUAKALI KAMBALE in Kinshasa
Tanzania is set to deploy its contingent of peacekeeping troops in the eastern DR Congo city of Goma as per the peace plan agreed on by the...
44,929,002. That is how many Tanzanians were counted. They can go on and make the last digit 3 because I had to leave the country a week before the census.
All jokes aside, Tanzania has...
Mabishano makali yamezuka katika mjadala unaoendelea Katika Makao Makuu ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki Huko Arusha katiya Kenya na Rwanda. Hoja ikiwa ni wao wanataka kuwe na sarafu moja ya...
Habari za Asubuhi wanaJF!
Kumekuwepo na umilikaji wa silaha za kivita, ambazo ni hatari na raia yoyote hapaswi kumiliki. Silaha hizo hutumika kwa ujambazi, katika mapori kadhaa yaliyo maeneo ya...
Kibona alikuwa ni Waziri wa fedha, naye Rutihinda alikuwa ni Gavana wa Benki Kuu.
Hawa jamaa wazalendo, walikataa kuprint fedha na kuziingiza kwenye system kwani walijua wakifanya hivyo mfumuko...
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.
Tukiweza kuweka list...
Nimeamua kuamka na swali hili baada ya ile habari ya wana ndugu wa marehemu aliyefariki tangu Ijumaa ya wiki hii kukataa kuamini kuwa amekufa na kuamua kumpeleka katika Kanisa la Ufufuo na...
Waungwana habari,
Ni hivi majuzi tu bodi mpya ya wakurugenzi wa kampuni muhimu kabisa ya simu Tanzania TTCL ilivunjwa na kuundwa ingine! Lakini kuna jambo lililo jificha ndani yake. Huyu...
Friends,
Following recent events that have been happening all over our country, nimejikuta nawaza sana - like how did we come to this stage? Its a lot to grasp considering 'ours was supposed to...