Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kutoka na hali ya ulipuaji mabomu katika jiji la Arusha unaoendelea wakati huu wa ujio mkubwa wa watalii nilazima serikali iimarishe ulinzi kwenye maeneo yafuatayo. Hotel zote za kitalii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do u believe in human being possessing supernatural powers?that can influence others wellfare positive or negative ways?
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Usalama wa uhakika ni muhimu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
majasusi mpo wapi kuhusu hii milipuko inayotokea katika nchi yetu???
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Heshima mbele wakuu wangu. Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara nyingi bila kupata majibu. Nini hasa maana ya maisha? Tunapo sema binadamu "UHAI" umemtoka na hana maisha tunamaanisha nini hasa...
6 Reactions
55 Replies
8K Views
Katika uongozi haswa nafasi ya juu ya ukuu wa nchi muongozaji wa nchi kwa maana ya raisi huwa na mamlaka makubwa sana ila zaidi na zaidi mamlaka hayo ugawanyika katika sehemu kuu mbili mbazo ni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
leo nataka tuingie darasani kidogo ila ntalifupisha somo, nadharia ya uhalifu ni sababu zinazofanya watu aina Fulani kupendelea kufanya makosa ya aina Fulani mfano vijana wa miaka ishirini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
normally in this type of suicide, the victim will stand on a tall stool and then kick it down for him to be strangled. studying carefully the above pics you will notice that the stool is still...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hodi wana Jamvi na watanzania wenzangu, Imelanilazimu kandika humu ili kutoa mtazamo wangu kuhusu yanatokea katika jamii yetu hasa kuhusiana na uhalifu na wahalifu panya road wakiwa ni sehemu tu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habali wana jf hil jambo huwa linanifikilisha sana hivi ni sayansi gani wanayoitumia wenzetu kucheza filamu na wanyama mfano wa filamu hzo ANACONDA KINGCON PILONA(samaki wa bahalin) wana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
1. John D. Rockefeller Adjusted wealth*: $253 billion Lived: 1839-1937 Rockefeller made his fortune by revolutionizing the oil industry. Before his time, lamp oil...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Mary's father has five daughters: 1. Nana, 2. Nene, 3. Nini, 4. Nono. What is the name of the fifth daughter?
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Tangu ameondoka madarakani sijasikia tena polisi wakiuwa wananchi hasa mashabiki na wapenzi wa cham tukufu CHADEMA. Tulizoea kuona Mwema akihalalisha mauaji kwa kusingizia itelijensia n.k...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni lugha ipi ambayo mtu huitumia wakati anafikiri? binafsi nimeshindwa kujua lugha nnayotumia wakati wa kufikiri(sio kuzungumza), Vipi kwa wale wanaotumia lugha zaidi ya moja ktk kuzungumza, je...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkewe ndugu Karume Shady yuko hapa Berlin .Kuna maonyeshoi makubwa sana Utalii yanaitwa ITB na Tanzania wameleta makampuni yapatayo 70.Katika msafara huo wa Zanzibar yuko Mama Shady ambaye sasa...
0 Reactions
419 Replies
54K Views
Mama Joyce Banda the immediate former presiar for Malawi had been pushed by her people to grab Lake Nyasa (they call it lake malawi) with the pretext that the lake it was prescribed to be Malawi's...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
History is full of examples of human ingenuity run amok. Weapons design is no exception. A group of Quora users sought to answer the question "What are some historical weapons that most people...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Top travel destinations like Paris and New York get so many visitors each year that trips to these destinations can be disappointing experiences filled with crowded tourist sites, overpriced...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Hivi huyu binadamu wa kwanza kunywa maji pamoja na kula chakula, alifundishwa na nani? na siku hiyo ilikuaje? Alijuaje kwamba nikijisikia hivi ninatakiwa nitafute chakula? nikijisikia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…