Habari wanaJF,
Nimekuwa na utata ambao nimekosa majibu ya kuridhisha. Nimekuwa Nikishuhudia watu wengi kuhusisha baadhi ya matukio yanayowatokea na Mungu, kwa mfano mtu anaweza akapata ajali...
Ikiwa yapata zaidi ya miaka 40 toka auawe aliyekuwa raisi wa Marekani JF Kennedy, kifo chake kimegubikwa na utata mwingi na ukweli wa waliohusika na tukio hilo la kuawawa kwake si ajabu mpaka leo...
Kanuni ya Usawa wa Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha ya Mtu
"Like attracts Like"
Kanuni hii kwa Upande wa Ndani
Sheria hii wengi wanaifahamu ikisema "Like attract like". Kuelewa sheria...
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na...
EPISODE 2:CHAMA HATARI
CHA MAJESUIT. .. Ignatius
akawa ndiye kiongozi
mkuu (Superior General)
wa chama cha Yesu
Society of Jesus.
Yeye ndiye aliyetunga
katiba ya chama hicho
mwaka 1540...
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.
Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.
Kama ukiutumia kwa...
Police seizes Stakishari guns
Details Published on Monday, 20 July 2015 16:20 Written by ONLINE Reporter Hits: 202
Special Zone Police Commander, Mr Suleiman Kova displays part of seized...
Habari wanajamvi humu,
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza sana.
Labda niseme kuwa ninavyoelewa kuwa ushirikina na uchawi hutumia mitishamba na tech zao katika kuharibu na kuroga watu.
Pia...
Wakuu heshima yenu,naomba msaada wenu katka jambo hili tafadhalini. Jambo lenyewe ni hili "ikiwa nafahamu mwaka na mwezi niliozaliwa. Je kuna njia yeyote ya kujua siku niliozaliwa.
Hope watundu...
Uhusiano wa nazi ya Hitler, Freemason na uchaguzi wa CCM na Tanzania
Ndugu Watanzania na wanamageuzi wenzangu na haswaaa vijanaa tupime kila kitu kwa jicho la tatu tujikumbushe huu msemo wa...
CCM iliyojengwa juu ya ufalme wa shetani kupitia ktk udhamini wa waganga wa kienyeji inatenda km shetani...Imeviambia vyama vingine viisujudie na kuiheshimu ili vile mema ya nchi .Vyama vingine...
LEO TUPATE ELIMU KUHUSU KUNDI LA JESUIT kundi la ‘Jesuit Society' maana wao ndio waliomfundisha Adam Weishaupt ambaye ni muasisi wa Illuminati. Shirika la Jesuits lilianzishwa na Ignatius...
Kuanzia pikipiki ya askari wa usalama barabarani hadi gari ya mwisho ya kwenye msafara, mwendokasi unaogofya. Mwendokasi wa msafara kama wa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na wengineo huwa kati...