Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nyakati za usiku, wengine ni uvivu kuinuka kwenda chooni kujisaidia haja ndogo, baadala yake wanatumia kopo, ndoo au chupa kujisaidia haja ndogo. Swali langu lipo kwenye hawa wanaotumia chupa...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Habari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...
2 Reactions
10 Replies
961 Views
Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani? Nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake, maana nimeenda kumpima U.T.I, Typhoid na Malaria Je kila...
3 Reactions
8 Replies
729 Views
Mtu anajua ana ugonjwa wa UKIMWI lakini hakuambii mwishoe na wewe unapata hivi nini kinasababisha haya?? Uzi tayari
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa. Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo,,wapendwa me naumwa kiuno kimenisumbua sahizi Kama miezi miwili sasa. Umri miaka 29 CHANZO CHA TATIZO: Siku moja usiku nilikuwepo nyumbani basi nipo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
0 Reactions
4 Replies
665 Views
Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Habari wanajamvi, Kumekua na malalamiko katika familia nyingi sana kuhusiana na jinsi₍ jinsia₎ ya watoto.Waweza kukuta mzazi anazaa watoto wa kike tu au kinyume chake hii inapunguza furaha na...
11 Reactions
91 Replies
30K Views
https://www.facebook.com/reel/1091750899327204
2 Reactions
3 Replies
364 Views
Habarini ndugu zangu. nna mchumba wangu anatatizo la kutosikia vizuri,hali hii imemtokea tu ivi karibuni zamani hakuwa na tatizo hili hata kidogo, shida ilianza pale alipoenda field pale idara...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari JF, leo tutajifunza kidogo kuhusu hili tatizo la watoto kusaga meno . Bruxism ni neno la kitabibu lenye maana kusaga meno au kufunga taya .Mara nyingi tatizo hili huwapata watoto wakiwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini Wana JF Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada . Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata...
19 Reactions
120 Replies
12K Views
Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani. Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU). Ni muhimu...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
482 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…