Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wadau Habari zenu Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakubwa... Ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wajawazito kujisikia haja ya kujisaidia choo mara kwa mara. Hii ni kutokana na mabadiliko kadhaa yanayotokea mwilini wakati wa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Jhhjj
1 Reactions
13 Replies
739 Views
Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila...
3 Reactions
59 Replies
50K Views
Dhana kwamba "wanaume hawalii" ni mtindo wa kijamii ambao unaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya kihisia na ustawi wa wanaume. Wazo hili linadumisha dhana kwamba wanaume lazima wazuie hisia zao...
0 Reactions
6 Replies
686 Views
salamu, Naomba kuwashirikisha tukio moja nililolishuhudia nikiwa safarini (kwenye bas) Wote tunafahamu kuna watu wakipanda gari huaptwa na hali ya kutapika sana! Hii huwalazimu wengine kutokula...
2 Reactions
47 Replies
25K Views
SARATANI NI NINI Miili yetu ina chembechembe hai nyingi ambazo huzaliana, hukua, na kufa kwa mpangalio maalum. Chembechembe hizi zinapobadilika na kuanza kuzaliana na kukua katika utaratibu ambao...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Mrija wa mkojo (urethra) ni kiungo muhimu kinachotoa mkojo nje ya mwili kutoka kwenye kibofu. Mrija huu unaposinyaa au kuziba hufanya utokaji wa mkojo kuwa wa mashaka na maumivu makubwa. Kusinyaa/...
2 Reactions
4 Replies
16K Views
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi. Naomba niende kwenye Maada yangu direct. Kwa kitambo Sasa nmekuwa muhanga wa Ugonjwa huu ninao uona ni wa Ajabu kwangu.., Mwanzo wa mwaka huu nilipata...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba kuuliza wananzengo je, ni kweli kumvalisha diapers/pampers mtoto wa kiume kwa muda mrefu kunaweza kumletea shida ya nguvu za kiume hapo baadaye.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona, nimetapeliwa sana bila mafanikio. Msaada jamani.
4 Reactions
49 Replies
10K Views
FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KULA MAGANDA YA NDIZI MBIVU Watu Hula Maganda ya Ndizi. Wewe Unazijua Faida Zake? How healthy are bananas? Bananas are rich in Vitamin B6 and a good source of fiber...
5 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Nimekuja kwenu nikiomba ushauri juu ya kadhia hii inayonikumba mimi mdogo wenu; Takriban miaka 2 sasa nimekuwa nikitaabika sana na harufu mbaya ya mdomo mithili...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu. Nilikua quora website, kuna mtu aliuliza swali anataka kujua kama hiv ina dalili zototw za kupata tiba kamili. Aliuliza kua amesikia fununu kwa ndugu yake yuko kitengo maalum...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai. Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Je, unajua kwamba vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia moja kwa moja katika muonekano wa ngozi zetu? Vyakula vya asili vina virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kupambana na magonjwa na pia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wife maziwa yanamuuuma hata vile vichuchu ndo usiseme hata ikiguswa na nguo. Shida itakua nn kwa wakongwe au kina dada. Status: Hajawai kuzaa Hajawahi shika mimba Hanyonyeshi Hajawai kua na hilo...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu nina ombwa kujuzwa kama kuna mafuta au dawa yoyote inayoweza kujaza nywele kichwani. Mimi ni kajana wa miaka 24+ ila naona kuanzia mwezi uliopita kama nywele za mbele...
9 Reactions
98 Replies
5K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza Korosho ipo katika kundi gani ni Wanga au Protein?
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…