Kwa aliyetumia dawa ya netragen (ya vidonda vya tumbo) ya herboworx corporation limited je umepona?

Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona ,nimetapeliwa sana bila mafanikio.Msaada jamani.
Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako.

Kwani Ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori kupona kwake ni kazi inachukuwa siku 60 kuweza kupona na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori.

Lakini kama huna hao wadudu wa Helicobacter pylori kwa dawa zangu ukitumia siku 21 umepona maradhi yako ya vidonda vya tumbo.
 
Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona ,nimetapeliwa sana bila mafanikio.Msaada jamani.
Je ulifanya kipimo gani kuhakiki ni vidonda vya tumbo?

Kipimo pekee kinachiweza kuthibitisha kikamilifu (confirmatory test) ni Upper GI Endoscopy, yani unawekewa camera kupitia mdomoni kuangalia njia ya chakula ikoje na kuona hivyo vidonda vipoje, vipo wapi na vimefikia hatua gani. Vyengine vyote si confirmatory tests. Je ulifanya hivi?

Wengi wanadhani wana vidonda vya tumbo kumbe magonjwa mengineyo kama Pancreatitis, Inflammatory bowel diseases, Esophagitis, Mallory Weiss Syndrome na mamia ya magonjwa mengine hata Cancer ya Mfuko wa chakula (Gastric Carcinoma).

Onana na daktari, fanya vipimo stahiki kisha tumia dawa kwa umakini, ukiona bado rudi kwa daktari wako.
 
Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako...
Mfanyie majaribio kwa dawa zako akipona ndo akulipe au vipi jomba!

Mdau kasema ametapeliwa sana.

Afu vitu vingine watu wanajitakia sana.

Vidonda vya tumbo wengi hujitakia afu dawa yake hata elfu mbili haifiki.
 
Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako...
Mkuu dawa zako ni bei gani?

Unapatikana wapi na mikoani mtu akihitaji anapataje?
 
Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako. Kwani Ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori kupona kwake ni kazi inachukuwa siku 60 kuweza kupona na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori. Lakini kam huna hao wadudu wa Helicobacter pylori kwa dawa zangu ukitumia siku 21 umepona maradhi yako ya vidonda vya tumbo.
Sawa mkuu
 
Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako. Kwani Ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori kupona kwake ni kazi inachukuwa siku 60 kuweza kupona na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori. Lakini kama huna hao wadudu wa Helicobacter pylori kwa dawa zangu ukitumia siku 21 umepona maradhi yako ya vidonda vya tumbo.
gharama yako shilingi ngapi?,
baba yangu anasumbuliwa na huyo bacteria;
 
Mfanyie majaribio kwa dawa zako akipona ndo akulipe au vipi jomba!

Mdau kasema ametapeliwa sana.

Afu vitu vingine watu wanajitakia sana.

Vidonda vya tumbo wengi hujitakia afu dawa yake hata elfu mbili haifiki.
Dawa yake ni ipi?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom