Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ni kuusu hizi machine za ceragem zinazo tibu magonjwa mengi kwa mtu kuingia kwenye mashine na kukaa dakika chache eti zina madhara gani kwa binadamu, na pia azina mionzi yoyote kama madhara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kunywa mvinyo haisaidii afya yako Je umekuwa ukibugia mvinyo ukikusudia kufaidi afya yako? Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna uwezekano matiti ya wanamke mwenye miaka 20 , yakaendelea kukua au ndo mwisho hapo? Jaman huyu mtu chuchu zake ndogo sana mpaka avae nguo nyepesi ndo utajua nae ana matiti. Nauliza hivi kwa...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu za...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Prostate gland anlargement (Uvimbe kwenye tezi ya kibofu cha mkojo) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi mno kwa sasa. Ugonjwa huo huweza kusababishwa na magonjwa kama vile U.T.I, kisonono,kaswende...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Homa ya Dengue ,nitajitahidi kutafsiri kwa Kiswahili ila naomba radhi pale ambapo nitakosea Dalili zake huanza siku 4 mpaka 10 baada ya maambukizi. Dalili zenyewe ni: 1. Homa kali naya...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumaini nyote wazima. Naomba kusaidiwa jambo hili huwaje. Ninaishi na mke miaka miwili sasa, lakini nakosa furaha kabisa kwani tendo la ndoa linafanyika angalau mara 1 kwa wiki 2/3, tena kwa...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Ni kama fasheni siku hizi kukuta earswaps kwende gari, dressing table nyumbani na hata ofisini mwili una jinsi yake ya kujiswafi na kujilinda, na mojawapo ya maeneo hayo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana-JF, Nasumbuliwa na kifua kubana, Kila nivutapo pumzi ndani au nje mbavu zinabana na kutoa sauti kama mtu anayevunja vijiti vikavu. Kwa mtu aliye karibu yangu wakati huo anaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama wakuu! Mimi nina mtoto wa miaka 5, mtoto huyu anapenda sana katuni anaweza kuangalia katuni asubuhi mpaka jioni bila kuchoka na ikitokea ukizima Tv ni kilio mtindo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
FULL TRANSCRIPTION FROM NETWORK 23: Good evening, I'm Michel Kassett. This is Network 23. A couple of weeks ago we had a program on the subject of AIDS, addressing the question of whether AIDS...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kumeza manii ya mwanaume mwenye afya bora angalau mara tatu kwa wiki kuna faida zifuatazo: 1.virutubishi vya manii huongeza muda wakuishi. 2.uwezo wa kupambana na cancer. 3.kunamfanya mwanamke...
5 Reactions
133 Replies
62K Views
Magonjwa ya moyo yameshika kasi hapa nchini kiasi cha kutishia uhai wa watu wengi. Ripoti ya iliyotolewa na Taasisi ya Afya ya Ifakara hivi karibuni inaeleza kuwa hospitali na zahanati nyingi...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Panya mzee akiwa mwenye nguvu baada ya kuwekewa damu changa KWA UFUPI Kwenye utafiti huo, baada ya kuchukua damu ya panya mchanga na kumuingizia aliyezeeka, ghafla alibadilika na kurejewa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWA UFUPI Wakati kukiwa na changamoto nyingi za jinsi ya kupata tiba ya maradhi kama Ukimwi, saratani na kisukari, mengine yanaibuka yakionyesha kuwa dawa za kutibu maradhi ya uambukizo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu wana bodi nina maswali mawili naomba mnisaidie, 1.Nililala na msichana ikiwa ni siku ya 7 baada ya kuanza mzunguko wake na akapata ujauzito pia msicha huyo huyo nililala nae iliwa ni siku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wandugu, hii ni sku ya 3, kila ni kila natapika na mara nyingine navulimia kwa tabu mpaka usingizi unichukue..ila kichwa hakiumi...yaweza kuwa ni dengu ? hebu naomba mwenye dalili zake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom