Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Dr Suboth Shetty A visiting surgeon, Dr Suboth Shetty, who specialises in spinal related complications, has said the use of modern technology allows for the use of minimal invasive approaches...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
And Am Really Angry Right Now Nobody should have this disease. I never, in a bazillion years, would have ever thought I would be effected by it when I consider the type of family I grew up in...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba ushauri kwa waliowahi kupanda na wenye utaalam wa kupanda milima. Kuna rafiki yangu alikuwa akitafuta baiskeli ya kufanyia mazoezi ya kupanda ml.Kilimanjaro. Ana wiki moja tu ili apande...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni nini kinasababisha baadhi ya watu kuwa na ulimi mweusi
0 Reactions
0 Replies
6K Views
mwanangu wa miaka 6 anaumwa jino.linamsumbua hasa usiku. nimeenda hsptl kumtoa kutokana na usumbufu wa kuogopa sindano Dr kashauri asimtoe, jamani hakuna means yyt ya kufanya mpaka atolewe maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii f. Naomba msaada wa swala hili, mimi na mke wangu tuna mtoto wa miezi 8,na kwa bahati mbaya mke wangu ameshika ujauzito mwingine, sasa sipo tayari kumwachisha mwanangu ziwa la...
0 Reactions
17 Replies
58K Views
Kunamadhara yoyote kwa mama mjamzito kuendelea kumyonyesha mtoto hali yakuwa yeye ni mjazito ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa. Nina tatizo nahitaji msaada wa ushauri na ufafanuzi. Nina ujauzto wa wikin35. But nilipofikisha wiki 20 nilianza kupata vaginal bleeding, nilipoenda hospital nilifanyiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman waungwana habari zenu, polen na majukumu, naomba msaada piah ushauri kwa mwenye knwoledge kuhusu tatizo la kukojoa mara kwa mara haipiti dakika tano, na inapotokea hali hyo huahakuna jinsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa zilizopatikana kutoka wizarani zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa 150 na 200 husafirishwa na Serikali kwenda nchini India, ambako kuna uhakika wa matibabu, kila mwaka. Idadi hii haijumushi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wote, wakubwa shkamooni. Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, na nimelazimika kufanya hivyo kwa tatizo linalonikabili. Mwenyezi Mungu kanijaalia mtoto wiki moja...
2 Reactions
43 Replies
12K Views
Ugonjwa wa mafua huonekana wa kawaida, usio na madhara makubwa, lakini una athari za kiafya na karaha nyingi. Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu JF Doctors., Jamani mi nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi kila niuguapo mafua. Nashindwa kuelewa hii connection, why kila nikiugua mafua lazima na...
1 Reactions
3 Replies
15K Views
Wakuu nimekuwa nikijiuliza hivi ujauzito kihalisia ni miezi mingapi? Ni tisa au (kwa maana ya wiki 36) au zaidi ya hapo?? Je ilifika wiki ya 40 ni sawa au kuna tatizo labda?? Naulizq hivyo manake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wataalaam naomba kufaamichwa ni dawa gani au hatua zipi nichukue kunusuru macho yangu. Maana yanabadilika rangi na kuwa brownred.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu, Jukwaa hili ni mara yangu ya kwanza kuposti uzi huu. Sijawahi kuandika zaidi ya kusoma tu yanayoandikwa. Leo nimeona nije hapa niweke wazi huu ugonjwa unaonisumbua kwa mwezi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
RIZZY INC: HOMA YA DENGUE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivii dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwaje?? Na pharmacy inapatikana?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, Hivi watu walio katika ndoa kuna haja ya kwenda kucheck/kupima VVU mara kwa mara?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Waungwana baba yangu, baba yenu wengi wenu ni babu yenu mida hii ya saa kumi kaingizwa chumba cha upasuaji hapa hospitali ya Namanga Tegeta. Nakuombeni sana dua zenu atoke salama ili hatimae...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom