Madhara gani ya kiafya yanayotokana na kupanda Mlima Kilimanjaro?

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
9,841
10,987
Naomba ushauri kwa waliowahi kupanda na wenye utaalam wa kupanda milima. Kuna rafiki yangu alikuwa akitafuta baiskeli ya kufanyia mazoezi ya kupanda ml.Kilimanjaro.

Ana wiki moja tu ili apande, ameniomba ushauri kama apande au lah. Nimeshindwa kumsaidia ushauri kutokana na kutokuwa na uzoefu wa mswala hayo.

Atakuwa na wageni kumi, na wasaidizi kubeba mizigo. Hofu yake kama atamudu kufika kileleni na madhara kiafya kama yapo.

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom