Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari Naomba kujua wapi naweza kupata/kusoma kozi ya kuuza duka la dawa muhimu (addo) kwa dar es salaam, gharama za kozi na inachukua mda gani?
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Health Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Habari naomba kwa yoyote aliyewahi kufanyiwa upasuaji kwenye korodani anipe uzoefu wake kama kuna madhara yoyote maana kuna wanaosema kuwa ukifanya ni lazima utafanya tena. Ni kuondoa vivimbe...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani nina maumivu makali sana tena sana kwenye uti wa mgongo na leo ndio siku y 6 tu tangu nianze dozi za TB Naombeni ushauri hii ndio TB tu au kuna tatizo jingne maana Daktari amenijibu...
3 Reactions
83 Replies
13K Views
Habarini wakuu! Natumaini pasaka ilikuwa vyema kabisa kwetu sote,tujikite kwenye topic Binafsi kwa miaka ya karibuni nimeanza kuona matokeo ya stress zisizokwisha,binafsi huniwia ugumu mno...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Je, ni Afya Kula Manii? Ndio, kula manii ni afya kabisa kwani ni maji ya mwili. Kwa vile shahawa ni sehemu ya mwili, hukua katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kama vile chakula cha kawaida...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Salaam Wa JF Wote Nmekutana Na Mtu Mmoja Akiwa Anasumbuliwa Na Ugonjwa Wa UTI, Malaria, Kukosa Hamu Ya Chakula,Kwenye Maongezi Yetu Baada Ya Kumjulia Hali Akaniambia Ana Miaka 10 Hajawahi Kuugua...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari Wadau, Wazo tu lilinijia majuzi kuanzisha hii thread. Unajua Waafrika hatuongelei hii issue sana kuhusu Afya ya Akili yaani Mental health issues. Na ikitokea kwenye familia basi...
28 Reactions
132 Replies
14K Views
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis...
17 Reactions
138 Replies
6K Views
Pia naomba kuuliza. Parachichi Apple Ndizi mbivu Wali Ugali Nyama Maziwa mtindi Maziwa fresh(boxed like asas and first choice) Wine. Mayai ya kukaanga au kuchemsha Vitu gani Kati ya hivi sipaswi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wakuu? Naomba kuleta kwenu swala hili la ugonjwa wa GERD. Je, kuna watu wameugua huu ugonjwa? Wamepona? Walitumia muda gani kupona? Ulitumia njia zipi/ matibabu gani Hadi kupona? Vipi...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) na Msimu wa Sikukuu Vidokezo vya Ulaji Bora. Utangulizi Tunaelewa kuwa msimu wa sikukuu unaweza kuwa changamoto kwa wale wanaoshughulikia magonjwa yasiyoambukiza...
2 Reactions
2 Replies
397 Views
Habari Ndugu wa Jf, Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora Utangulizi Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Pombe kali inachelewesha kufika kileleni?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna ushauri nimeombwa nikamjibu navyojua pia nataka kuskia kutoka kwenu pia.ipo hivi,,,kuna dada mmoja siku ya tarehe moja decemba alikutana na mpenzi wake kimwili bila kinga ,masaa 73 baadae...
2 Reactions
14 Replies
532 Views
Asubuhi inauma, Usiku inauma Ukipata ashki inauma. Ushauri fanya tohara ukiwa bado mdogo.
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Habar gan wakuu Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
2 Reactions
9 Replies
790 Views
Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…