Plz jf doctor naomba kujuzwa madhara yatokanayo na ulaji wa wali kwani wengine wanadai unasababisha ugonjwa wa kirukari kutokana na sugar content yake.
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke siku zake za hedhi kama inaanza tarehe 28 na mwisho tarehe 2..je kuna uwezekano wa tarehe husika kufika na hedhi isianze mpaka wiki 2 au 3 zaidi..naombeni...
Habari, naombeni kujua ni hospitali gani hapa mjini Dar es salaam naweza kupata vipimo vya hormones, (vipimo hivi TESTOSTERONE, FSH, LH & PROLACTINE) kwa kutumia bima ya afya ya NHIF.
asanteni.
Scientists are just beginning to recognize the amount of "viral chatter" that is occurring worldwide, discovering previously unknown pathogens in humans that sporadically make the jump from...
NIMEITOA
SABABU YA ONGEZEKO LA WATOTO WANAOZALIWA KWA NJIA ZISIZO ZA ASILI « ManyandaHealthy™
Published by SAYI MANYANDA on Tuesday, August 12, 2014 | No comments...
Wadau nina rafiki yangu wa kike, ana tatizo ambalo nashindwa kulielewa ni kwamba huwa anapatwa na maumivu makali usawa wa kitovu upande wa kushoto ambapo anadai anapata maumivu makali sana kwa...
JITIBU KWA KUTUMIA MAJI mp3
Jifunze kwa kusikiliza audio hii namna ya kujikinga na kujitibu na maradhi au magonjwa mengi mwilini kwa kutumia maji tu.
Hii ni isehemu ya kitabu kiitwacho...
Habari zenu wana jamvii.
Me nina swali jamani, nikinywa kilevi wakati ninataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi.
Je ni ugonjwa?
DHA ni kifupi cha docosahexaenoic acid, hii ipo kwenye group la fatty acids ina Omega 3 chain kwa wale waliosoma biology.
DHA inapatikana katika cell zote za mwili, na ni muhimu katika...
CALL 0657 088 003
Suggested Supplements Combinations from FOREVER LIVING PRODUCTS For Managing Normal and Special Disease States such as
.High Blood Pressure/Cholesterol
,Diabetes/High Blood...
Naomben Ushaur Wadau, Nimeolewa Nimebarikiwa Kupata Mtoto Mmoja Mwaka 2003, Tatizo Langu Ni Kwamba Tangu Mwaka Juz Najaribu Kutafuta Ujauzito Bila Mafanikio, Nimesafishwa Mirija Ya Kizaz Mara Mbil...
Habari zenu,
Nna tatizo la weusi kwenye Makalio na bikini line (katikati) pamoja na vipele vigumu chini ya makalio. Anaejua namna ya kuondoa hili tatizo naomba anisaidie, nakosa raha haswa nkiwa...
dokta, kaka yanga anasema akikutana na wa ubavu wake akitoa yale maji meupe mazito ili kutafuta mtoto anaona zinarudi, je?afanyeje ili ziende ndani kwa mamusapo
habar yenu natumain nyote wazima wa afya,mimi nina swali naombeni ufafanuzi kuhusu hizi dawa(bramestone) anayejua anifafanulie coz nimeckia ni dawa za homoni nataka kujua kazi yake natanguliza...
Mke wangu ananyonyesha mtoto mdogo wa miezi mitatu sasa! Lakini amekuwa akipatwa natatizo ambolo hata sielewi ndo ugonjwa gani! Amekuwa akiumwa na matiti yani yanavimba halafu yanauma ukigusa tu...
Habari wanaforum. Naipenda sana jf doctor nikaona nisiishie kusoma tu Bali niweze kuchangia mada au kuuliza yanayonitatiza. Mimi ni mwanamke. Nawatakia weekend njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.