Naomba msaada jamani,
Mtoto wangu ana mwaka 1 na wiki3 anaumwa U.T.I doctor akamuandikia CHROLOCIDE CHROLAPHENICAL siku ya tatu Leo toka aanze dozi amepata nafuu kidogo ila Analia sana na tumbo...
Wakuu nimekumbana na hii post sehemu flani nikaona niiweke hapa pia. Binafsi sijui kama uke unatofautiana na kuwanyima mabinti amani kiasi hiki!
Huyu dada hapa anatiririka, "Hi dada dinah...
wanajamvi naomben mnielekeze vyakula ama dawa ambazo zitaweza kunisaidia kupunguza mafuta ktk mwili wangu, maana nmeambiwa na mafuta mengi sababu ya kutokwa na vitu vyeupe kwenye matundu ya...
Kijana mmoja amefariki kwa sababu ya kumeza dawa aina ya panadol. Baada ya kumeza dawa hiyo ya panadol tu alikunywa soda aina ya 7up, na akafa hapohapo.
Baada ya kuchunguzwa na wataam kifo chake...
Jamani mwenzenu ninatabia ya kutafuna midimo kwa maana ya lips hasa ya chini! Tabia hii siipendi ata kidogo inafanya midomo yangu inakuwa miekundu kama najunywa pombe. Huku ata pombe sijui radha...
Jf habari za majukumu.
Jaman kuna rafiki yangu amepatwa na tatizo la overbleeding tatizo hilo mpaka kufikia leo ni siku ya 14 amesha muona daktari lakini tatizo bado linaendelea imefikia hatua...
habarini za leo magreat thinker....
huwa wanasemaga no research...no right to speak ingawa haijathibitishwa kwamba sample space au data collection iwe na ukubwa saizi gani...
kupitia...
So, je uko salama, je dawa ya meno unayotumia haina kiambata hiki kinachosababisha cancer. By the way, Colgate walifanya utafiti miaka kumi ku-develop hiyo ingredient, na wakaiingiza kwenye dawa...
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa...
Kuna wakati unakuwa una mawazo mengi hata wengine wanadhani kuondoa mawazo hayo ni kutumia pombe au mawada ya kulevya kama bangi, Hiyo sio njia sahihi kwani utaongeza mawazo zaidi baada ya kufanya...
Nataka kujua dalili na jinsi kujikinga na ugonjwa wa Ebola nimeanza kupata hofu baada ya kusikia kasi ya kusambaa Africa Magharibi na kusikia kuwa hakuna tiba wala dawa ya ugonjwa huo
Ndugu zanguni ninatatizo la tremor. na hii ipo sana mikononii na miguuni, nimepewa neurobin naendelea nazo kila siku sina matokeo.
nisaidieni nishaurini
Habari wapendwa. Nimeugua tumbo chini ya kitovu toka mwaka Jana august .kila nikienda hospitali naambiwa uti , nimepimwa magonjwa ya zinaa hayakuonekana, ukimwi hakuna, na kansa ya kizazi hakuna...
Fortunes from foreskin
According to World Health Organisation estimates, 30 per cent of the world males are circumcised 70 per cent of them being Muslim.
After reports released by UNAids and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.