Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wanajf naombeni msaada,nilijifungua tar26 mwezi wa 9 tena kwa bahati mbaya mtoto alifia tumboni kutokana na chupa kukauka japo pia sijajua hilo tatizo lilitokana na nini maake utrasound tar19...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Nitumie dawa gani wadau ,kifua kinabana na sasa mara moja moja napumua kwa tabu.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba kwa wanaojua mini dalili za Kansas Nina mdogowangu analibongebonge kwenye titi LA kulia na li bonge bonge ukilishika linatembea haliko fixed he hiyo inaeza ikawa mass au canser
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari. Ripoti hiyo ya...
3 Reactions
69 Replies
14K Views
Paracetamol link to asthma risk 'has been overstated': Experts say evidence is not strong enough to warrant warnings Previous studies claimed exposure to paracetamol in the womb or during early...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
So which foods really ARE good for you? Interactive tool reveals the truth about chia seeds, acai berries, wheatgrass and green tea Data journalist David McCandless began research for the...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwanini wanawake walio wengi hunenepa wakishajifungua?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari. Ripoti hiyo ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii magic shaving powder ambayo watu mbalimbali wanaitumia kunyoa ndevu iwapo ina madhara ya kiafya kama vile kuweza kupata ugonjwa wa kansa hapo baadaye?
1 Reactions
24 Replies
23K Views
Olcomlabs (T) - Apollo HIS in 5 Minutes - YouTube
0 Reactions
0 Replies
803 Views
wana JF salam. naombeni kujua, ni sababu zipi ambazo hupelekea mtoto anazaliwa akiwa kawaida lkn kadri anavyokuwa, kichwa pia kinakuwa kikubwa hadi kuwa mzigo mzito kwa mtoto na wazazi. na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau naombeni kuuliza kuhusu HIV test. Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano kuna Docta anasema kuna HIV determiner...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mitaani kuna miwani ya aina nyingi inayouzwa lkienyeji na watu wengi wamekuwa wakiinunua na kuivaa kama urembo au kupunguza makali ya miale ya jua. Kuna wengine huvaa pia ili watu wasiwatambue...
2 Reactions
0 Replies
9K Views
Sisikii Denguo wala Ebola kunani Tanzania ,au ndio haya magonjwa yameshatoweka au ilikuwa international game over Tz ,kila nikipima naona hii hali sasa hivi hatuioni si kwenye vyombo vya redio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama ni dalili za ugonjwa ni upi na how to avoid it.Naombeni jibu
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts. Sunzua ni ugonjwa wa ngozi unaofahamika na wengi. Ugonjwa huu husababishwa na virusi...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Ndugu Zangu Wanadokta Wa Jamii Mi Nina Tatizo La Meno Yangu Kuoza Mawili Katika Taya Ya Juu Yananifanya Kuhisi Aibu Nichekapo Kwa Sababu Ya Weusi Wake Katikati Ya Meno Mahali Ambapo Pameoza.kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
habar zenu wana jf, mke wangu ni mjamzito wa miezi miwili ila kinachonishangaza juu ya ujauzto wake ni kua, anapenda sana harufu ya mwili wangu na jasho lake, hivo huninusa nusa mfano wa mbwa...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Leo nikiwa kwenye baa moja nilipata kusikia watu wakijadiliana mada ya matumuzi ya ARV na pombe. Waendesha mada walikuwa wanasema kwamba mtumiaji wa ARV anaweza kunywa dawa na baada ya masaa 3...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Mimi binfsi nina tatizo ambalo naona limeanza wiki moja sasa. Jino moja (Premolar)lilianza kulegea (linatingishika) lakini halina maumivu labda ulitingishe au nitumie upande huo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…