Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Sijui kama Niko sawa wakuu naombeni Ushauri kabla ya kwenda hospital kwasababu siko sawa. Kama mwezi mmoja uliopita nilishikwa na tonses pamoja na homa kali sana, nilitumia dawa haikuchukua wiki...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wana JF? Nina mfanyakazi mwenzangu wa kike tunafanya kazi ofisi moja. Mwanamke huyo ana tatizo la kusinzia mara kwa mara. Iwe ni asubuhi mara tu baada ya kufika kazini, iwe ni...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Picha ya Kopyuta ikionyesha athari za Alzheimer Tatizo la kukosa usingizi huenda likawa ishara ya kutambua mapema maradhi ya kupiswa na akili au ''Alzheimer'' kwa mujibu wa utafiti uliofanywa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau natafuta gym maeneo ya kigamboni, mi naishi vijibweni.
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Madaktari wa uingereza wanatuelimisha na tafiti zao Sleep Naked to Beat Diabetes.......
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jambo bandugu? Nina shida mama watoto hapati ujauzito huu ni kama mwezi wa tatu sasa najaribu bila mafanikio. Naomba mwenye connection na dr yeyote mtaalam either anipe namba yake pm nifanye...
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Habari wapendwa, Nakumbuka ilikuwa tarehe 14 ya Julai mwaka huu nilivyofanya vipimo baada ya kukaa muda mrefu bila kupata ujauzito, nilienda hospitali kubwa kama tano hapa Dar na nilionana na...
8 Reactions
70 Replies
11K Views
Sijiamini nimeamua kufanya Paternity test kimya kimya ila sijui utaratibu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ninaishi na mpenzi wangu ila tunaishi mikoa tofauti ila siombali sana maana kila wiki endi ninauwezo wa kwenda kumtembelea mpenzi wangu. Mnamo tarehe 30/09/2014. nilikuwa na safari...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sofia James Mwiga (17, pichani) ni mkazi wa Manispaa ya Mkoa wa Tabora nchini Tanzania anaishi na ugonjwa wa kuvimba miguu kwa muda mrefu hali ilinamfanye awe mpweke huku akishindwa kuanza shule...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naombeni ushauri, nina dada yangu ana miaka arobaini na tatu ana mtoto mmoja ana miaka kumi na tano. Mume wake alifariki, sasa amepata mume anataka kuzaa nae. Je, kiafya ni sawa?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba nijize dalili za mshipa
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Salaams wapenz..... Mtoto wa dada yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 9 ameanza kusumbuliwa na miguu kwasasa ana miezi 4...... Ilianza ghafla tu akawa analalamika kua visigino vyake vinauma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi! naombeni kujuzwa ya kuwa kuna uwezekano kwa mwanamke mjamzito kuendelea kupata hedhi? au kwa lugha nyingine wanaita "punguza" na ni nini hatima au dawa yake? na kuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habar zenu huku jf doktas??mwenye ujuz tafadhal anijuze. Je kukojoa mkojo wenye harufu ni tatizo? Na kama ni tatizo laweza kuwa tatizo gan? Nin tiba mbadala badala ya kwenda hospitali ? (kama ipo)...
0 Reactions
13 Replies
21K Views
Panic attack(jazba..waswahili mtanisaidia) Hii ni ile hali ya kuingiwa na hofu au uwoga ghafla ingawa kiuhalisia hakuna kitu chochote kibaya kinachotokea au kitacho tokea. Hofu hii inampelekea...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Kwanini mtu akitekenywa anashtuka halafu anacheka? and why inakuwa ni baadhi ya sehemu za mwili tu kama vile mbavuni, makwapani na kwenye unyayo. Na kwanini mtu akijitekenya mwenyewe hacheki? ni...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
KABICHI Kabichi linaweza kuliwa bichi, Likichanganywa kwenye kachumbari au kupikwa na kula. Kabichi lina kalonzi kidogo Lakini lina vitamini c nyingi sana. Wataalam wanatuambia kabichi lina...
2 Reactions
4 Replies
39K Views
Nina rafiki yangu ambaye alijaliwa kuwa na mtoto toka 2008, shida anayopata ni kwamba huwa anasumbuliwa sana na kuumwa Tumbo. Haijalishi amekaribia siku zake za mwezi (menstruation cycle) huwa...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Back
Top Bottom