Habar za humu ndan members naomben ushaur na msaada wenu jinsi yakutumia calender. Ili kuzunisipate mimba na kujua mzunguko wangu ni mrefu or mfup or wakawaida
Kuanza mwenz wa kumi na moja siku...
Habari ya asubuhi wandugu
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Jaman mwenzenu kama nilivouliza mara ya kwanza kuhusu sindano ya uzazi wa mpango ambayo nilichoma mwezi wa tisa mwaka jana na...
Five common home Remedies and their uses :
We all have home remedies for combating health, skin and cleaning that have beenpassed down from generation to generation. I remember a few of these...
Kichaa cha mbwa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoambuklizwa kutoka kwa wanyama hadi binadamu kupitia kwa mate. Njia iliyo ya kawaida zaidi ni wakati ambapo mtoto ameumwa na mbwa. Hata...
Habari za leo ndugu zangu wapendwa? Ni matumaini kuwa mpo safi kabisa. nimekuja hapa kwenye hili jukwaa nikiwa nina shida moja inayonitatiza.
jana nilikuwa nampa chakula mwanangu (ana miezi 7 na...
WALIOATHIRIKA WA MASTURBATION TIBA YAKE:
Chagua utakayoiweza kuibeba kati ya zifuatazo:-
(a) Unga wa Parachichi vijiko vitatu vya chakula na unga wa kahawa kijiko kimoja cha chakula vichanganye...
Heri ya mwaka mpya wapendwa.
Natoa shukrani zangu kwenu nyote mlionishauri na kunifariji wakati nikiwa nahitaji mtoto, hamkuniacha mpweke mpaka mimba ilipotunga na niliwajulisha, sasa Mungu...
Habari.
Mimi ni mwanamke ninaetarajia kupata mtoto kwa kipindi hiki.
Mzunguko wa siku zangu ni siku 28... na napoingia kwenye siku zangu naenda siku tatu. Mara ya mwisho kuona siku zangu ilikuwa...
Ndugu wanabodi,
Juzi nilikuwa nimelala usiku ghafla nikashtuka na kufungua macho, nikawa na fahamu lakini mwili wote ukawa ume paralyse siwezi hata kuinua kiungo hata kimoja hali hiyo ilidumu kwa...
Nimekua na tatizo sana na kusumbuliwa na kiu sana imefikia hatua nakunywa lita 4-4.05 kwa siku, sina kazi ngumu niifanyayo .
Miezi kama 4-5 nyuma nilikua nachemsha maji yakipoa kidogo nakunywa na...
Madaktari mjini Devon wanaunga mkono kampeni mpya inayowaagiza raia kuwatembelea madaktari wao iwapo wanahisi kuwa na kiungulia kwa siku kadhaa kwa kuwa huenda ikawa ishara ya ugonjwa wa saratani...
Wasalaam Madokta;
Mara kama ya tatu sasa nakutana na hawa jamaa ambao huonyesha madhara ya vitu mbalimbali kama chumvi, vipodozi, mayai ya kisasa, soda na kilichonistaajabisha juzi walikuwa...
Experienced doctors na wadau wengine nahitaji kujua hili:- Hivi ni kweli kuna "false positive" ktk HIV TEST. Na je kama ipo hivyo inasababishwa na nini? maana si mnajua stori za vijiweni.
Wadau nasumbuliwa nikikojoa nasika utamu sana usio wa kawaida ndani ya uume au nikibinya uume nasika raha kama ile ya kufika kileleni. Mimi nina miaka 20. Au nikipigapiga uume kwenye mkono nasikia...
Habari wana JF wenzangu,
Mie Nina tatizo nahisi maana napata maumivu upande Wa kulia chini ya mbavu usawa Wa kitovu (Julia tu lakn) hata nikienda gym au kuogelea huwa napata kichomi kwa haraka...
habari zenu wana jamvi, naombeni mnisaidie kwaanaejuañ nini kinasababisha mkojo kunuka kama mavi?
Msichana wangu wajazi akienda kukojoa chooni hapaingilikikwaajili ya
harufu0 kali na mbaya nini...